Monday 17 January 2022

Liked on YouTube: MWENYE DEGREE 9 ACHUKUA FOMU YA USPIKA, NI MTUMISHI WA SERIKALI

MWENYE DEGREE 9 ACHUKUA FOMU YA USPIKA, NI MTUMISHI WA SERIKALI

Mchakato wa kuchukua fomu za kuwania nafasi ya Uspika umeendelea leo January 11 ambapo miongoni mwa waliojitokeza kuchukua fomu hizo makao makuu ya CCM Dodoma ni Prof. Handley Mpoki Mafwenga ambaye ni mtumishi wa Serikali
via YouTube https://www.youtube.com/watch?v=wfeVNsMy3Ms

No comments:

Post a Comment

Thanks for foruming Projects